Sunday, July 20, 2014

HII NI HAPPY BIRTH DAY YA KUSHITUKIZWA ILIO MTOKEA SHETA

Unajua leo ni siku ya kuzaliwa ya Shetta, ikiisha tu hii shughuli namuita nje na kummwagia maji yeye mwenyewe anajua sisi hatujui,” alisikika Ommy Dimpoz.
KHA! Staa wa Kerewa, Nurdin Bilal ‘Shetta’ juzikati alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa uji wa moto na Mbongo-Fleva mwenzake, Mwajuma Abdul ‘Queen  Darleen’.
Tukio hilo la aina yake lilijiri muda mchache baada ya tafrija iliyoandaliwa na uongozi wa No Fake Zone ‘NFZ’ kwa ajili ya uzinduzi wa video mpya ya Linah na kuaga rasmi menejimenti ya Jumba la Vipaji Tanzania (THT) pande za Kinondoni jijini Da

Unajua leo ni siku ya kuzaliwa ya Shetta, ikiisha tu hii shughuli namuita nje na kummwagia maji yeye mwenyewe anajua sisi hatujui,” alisikika Ommy Dimpoz.

0 comments:

Post a Comment

PURE DJS Reloaded © 2013 | Design by Premium Blog Templates Published By Gooyaabi Templates Supported by Best Blogger Templates and Premium Blog Templates