Tuesday, September 30, 2014
FISHCRUB & PURE DEEJAYS RELOADED
5:01:00 PM
| Posted by
Unknown

SIKU SI NYINGI KUANZIA LEO TEGEMEA KAZI KUTOKA KWA PURE DJ'S RELOADE KUPITIA (VEEJAY UNIQUE VENTURE FT LAMAR FISHCRUB) KAZI ITATAMBULIKA KWA JINA LA :- THE REFIX NON STOP MIXX .......
KAA TAYARI MDA WOWOTE KUANZIA LEO HII ONE LOVE FANS WA FISHCRUB + PURE DEEJAYS RELOADED.........
MDPLANTTZ -- RNB ARTIST
4:33:00 PM
| Posted by
Unknown

MSANI WA KIZAZI KIPYA NA NI UPCOMING ARTIST AMBAYE YUKO VIZURI KATIKA RNB TEGEMEA MENGI KUTOKA KWAKEE NA KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA UKA MFOLLOW KUPITIA INFOR ZAKE HAPO KWENYE CO...
Thursday, September 25, 2014
12:00:00 PM
| Posted by
Unknown

HII NDIO LIST MPYA YA MATAJILI WA AFRICA ANGALIA HAPA
Mtandao
wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya
matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao
pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.
List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na
mtanzania wa kwanza ameonekana...
ENJOY THE SHOW WATCH HERE!! PIDDY BOY WITH PACHA MC, DES MNASI..
11:54:00 AM
| Posted by
Unknown
PIDDY BOY , PACHA MC,DES MNASI, MD PLANT, MPINA BACHELOR NA WEMGINE KIBAOO NDANI YA BLAVOO NIGHT CLUB
...
TUNDA MAN AFUNGUKA!
11:48:00 AM
| Posted by
Unknown
MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani
‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu
za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.
kupitia...
Monday, September 22, 2014
Sunday, September 21, 2014